-
2 Wafalme 7:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kwa hiyo wakaondoka jioni giza lilipoanza kuingia, wakaingia kwenye kambi ya Wasiria. Walipofika kandokando ya kambi ya Wasiria, hakukuwa na mtu yeyote.
-