-
2 Wafalme 7:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kwa hiyo wakaondoka wakati wa giza la jioni ili waingie katika kambi ya Wasiria; nao wakafika mpaka kandokando ya kambi ya Wasiria, na, tazama! hakuna yeyote aliyekuwako.
-