-
2 Wafalme 8:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Alipokuwa akimsimulia mfalme jinsi Elisha alivyomfufua mtoto aliyekufa,+ yule mwanamke ambaye mwana wake alikuwa amefufuliwa akaja kwa mfalme akimsihi arudishiwe nyumba yake na shamba lake.+ Mara moja Gehazi akasema: “Bwana wangu mfalme, huyu ndiye yule mwanamke, na huyu ndiye mwana wake ambaye Elisha alimfufua.”
-