- 
	                        
            
            2 Wafalme 8:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        6 Ndipo mfalme akamuuliza mwanamke huyo, naye akamsimulia kisa chote. Kisha mfalme akamkabidhi mwanamke huyo kwa ofisa wa makao ya mfalme, akamwambia hivi ofisa huyo: “Rudisha mali yote ya mwanamke huyu na mazao yote ya shamba lake tangu siku alipotoka nchini hadi sasa.” 
 
-