6 Ndipo mfalme akamuuliza yule mwanamke, naye akamsimulia hadithi ile.+ Kisha mfalme akampa mwanamke huyo ofisa wa makao ya mfalme,+ akisema: “Rudisha mali yote ya mwanamke huyu na mazao yote ya shamba lake tangu siku alipotoka katika nchi mpaka sasa.”+