15 Baadaye Mfalme Yehoramu akarudi Yezreeli+ ili kuuguza majeraha aliyokuwa amepata kutoka kwa Wasiria alipopigana na Mfalme Hazaeli wa Siria.+
Sasa Yehu akasema: “Mkikubaliana nami, msimwache yeyote atoroke kutoka jijini na kupeleka habari hii Yezreeli.”