2 Wafalme 16:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Wakati huo Mfalme Resini wa Siria akarudisha Elathi+ kwa Edomu, kisha akawafukuza Wayahudi* kutoka Elathi. Na Waedomu wakaingia Elathi, nao wamekuwa wakiishi humo tangu wakati huo.
6 Wakati huo Mfalme Resini wa Siria akarudisha Elathi+ kwa Edomu, kisha akawafukuza Wayahudi* kutoka Elathi. Na Waedomu wakaingia Elathi, nao wamekuwa wakiishi humo tangu wakati huo.