-
2 Wafalme 16:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Akaendelea kufukizia moshi wa dhabihu zake za kuteketezwa na matoleo yake ya nafaka juu ya madhabahu hiyo; pia aliimiminia madhabahu hiyo matoleo yake ya kinywaji na kuinyunyizia damu ya dhabihu zake za ushirika.
-