2 Wafalme 16:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Kisha Ahazi akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake katika Jiji la Daudi; na Hezekia*+ mwanawe akawa mfalme baada yake.
20 Kisha Ahazi akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake katika Jiji la Daudi; na Hezekia*+ mwanawe akawa mfalme baada yake.