1 Mambo ya Nyakati 7:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Zabadi mwana wa Eleada, Shuthela mwana wa Zabadi, Ezeri, na Eleadi. Wanaume wa Gathi+ waliozaliwa nchini waliwaua kwa sababu waliteremka huko kuchukua mifugo yao.
21 Zabadi mwana wa Eleada, Shuthela mwana wa Zabadi, Ezeri, na Eleadi. Wanaume wa Gathi+ waliozaliwa nchini waliwaua kwa sababu waliteremka huko kuchukua mifugo yao.