1 Mambo ya Nyakati 7:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 na Zabadi mwana wake na Shuthela mwana wake na Ezeri na Eleadi. Na watu wa Gathi+ waliozaliwa katika nchi wakawaua kwa sababu waliteremka kuja kuchukua mifugo yao.
21 na Zabadi mwana wake na Shuthela mwana wake na Ezeri na Eleadi. Na watu wa Gathi+ waliozaliwa katika nchi wakawaua kwa sababu waliteremka kuja kuchukua mifugo yao.