-
1 Mambo ya Nyakati 8:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Aseli alikuwa na wana sita, na haya ndiyo majina yao: Azrikamu, Bokeru, Ishmaeli, Shearia, Obadia, na Hanani. Hao wote ndio waliokuwa wana wa Aseli.
-