-
1 Mambo ya Nyakati 8:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Na Aseli alikuwa na wana sita, na haya ndiyo yaliyokuwa majina yao: Azrikamu, Bokeru na Ishmaeli na Shearia na Obadia na Hanani. Hao wote ndio waliokuwa wana wa Aseli.
-