1 Mambo ya Nyakati 21:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Basi Daudi akamwambia Yoabu+ na wakuu wa watu: “Nendeni mkawahesabu Waisraeli kuanzia Beer-sheba mpaka Dani;+ kisha mniletee habari ili nijue idadi yao.”
2 Basi Daudi akamwambia Yoabu+ na wakuu wa watu: “Nendeni mkawahesabu Waisraeli kuanzia Beer-sheba mpaka Dani;+ kisha mniletee habari ili nijue idadi yao.”