2 Mambo ya Nyakati 6:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 nao warudiwe na ufahamu wakiwa katika nchi ya watu waliowachukua mateka, na kukurudia na kukuomba kibali katika nchi walikopelekwa mateka, wakisema, ‘Tumetenda dhambi na kukosea; tumetenda uovu,’+
37 nao warudiwe na ufahamu wakiwa katika nchi ya watu waliowachukua mateka, na kukurudia na kukuomba kibali katika nchi walikopelekwa mateka, wakisema, ‘Tumetenda dhambi na kukosea; tumetenda uovu,’+