-
2 Mambo ya Nyakati 18:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kisha Mfalme Ahabu wa Israeli akamuuliza Mfalme Yehoshafati wa Yuda: “Je, utaenda pamoja nami Ramothi-gileadi?” Akamjibu: “Mimi ni kama wewe, na watu wangu ni kama watu wako, nao watakuunga mkono vitani.”
-