2 Mambo ya Nyakati 18:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Na Ahabu mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati mfalme wa Yuda: “Je, utaenda pamoja nami kule Ramothi-gileadi?”+ Ndipo akamwambia: “Mimi ni sawa na wewe, na watu wangu ni kama watu wako na tu pamoja nawe katika vita.”+
3 Na Ahabu mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati mfalme wa Yuda: “Je, utaenda pamoja nami kule Ramothi-gileadi?”+ Ndipo akamwambia: “Mimi ni sawa na wewe, na watu wangu ni kama watu wako na tu pamoja nawe katika vita.”+