-
2 Mambo ya Nyakati 22:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Hata hivyo, Yehoshabeathi binti ya mfalme alimchukua Yehoashi+ mwana wa Ahazia, akamwiba kutoka miongoni mwa wana wa mfalme waliopaswa kuuawa na kumweka yeye pamoja na mlezi wake katika chumba cha ndani cha kulala. Yehoshabeathi binti ya Mfalme Yehoramu+ (alikuwa mke wa kuhani Yehoyada+ na dada ya Ahazia) alifanikiwa kumficha ili Athalia asimwone, kwa hiyo hakumuua.+
-