2 Mambo ya Nyakati 23:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Walawi wanapaswa kumzunguka mfalme pande zote, kila mmoja akiwa na silaha zake mikononi mwake. Yeyote atakayeingia katika nyumba hiyo atauawa. Mfuateni mfalme popote aendapo.”*
7 Walawi wanapaswa kumzunguka mfalme pande zote, kila mmoja akiwa na silaha zake mikononi mwake. Yeyote atakayeingia katika nyumba hiyo atauawa. Mfuateni mfalme popote aendapo.”*