2 Mambo ya Nyakati 23:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kisha wakamtoa nje mwana wa mfalme+ na kumvika taji na Ushahidi,*+ wakamweka kuwa mfalme, ndipo Yehoyada na wanawe wakamtia mafuta. Halafu wakasema: “Mfalme na aishi muda mrefu!”+
11 Kisha wakamtoa nje mwana wa mfalme+ na kumvika taji na Ushahidi,*+ wakamweka kuwa mfalme, ndipo Yehoyada na wanawe wakamtia mafuta. Halafu wakasema: “Mfalme na aishi muda mrefu!”+