-
2 Mambo ya Nyakati 31:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Yehieli, Azazia, Nahathi, Asaheli, Yerimothi, Yozabadi, Elieli, Ismakia, Mahathi, na Benaya walikuwa maofisa waliomsaidia Konania na Shimei ndugu yake, kama Mfalme Hezekia alivyoagiza, na Azaria alikuwa msimamizi wa nyumba ya Mungu wa kweli.
-