13 Na Yehieli na Azazia na Nahathi na Asaheli na Yerimothi na Yozabadi na Elieli na Ismakia na Mahathi na Benaya walikuwa wajumbe kando ya Konania na Shimei ndugu yake, kwa agizo la Hezekia mfalme, na Azaria+ alikuwa ndiye kiongozi wa nyumba ya Mungu wa kweli.