2 Mambo ya Nyakati 35:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Kwa hiyo watumishi wake wakamtoa garini, wakamweka kwenye gari lake la pili la vita na kumpeleka Yerusalemu. Kwa hiyo akafa na kuzikwa katika kaburi la mababu zake,+ na watu wote wa Yuda na Yerusalemu wakamwombolezea Yosia.
24 Kwa hiyo watumishi wake wakamtoa garini, wakamweka kwenye gari lake la pili la vita na kumpeleka Yerusalemu. Kwa hiyo akafa na kuzikwa katika kaburi la mababu zake,+ na watu wote wa Yuda na Yerusalemu wakamwombolezea Yosia.