-
Ezra 10:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Hata hivyo, watu ni wengi, na haya ni majira ya mvua. Haiwezekani kusimama nje, na jambo hili halitamalizika kwa siku moja au mbili, kwa maana tumeasi sana katika jambo hili.
-