-
Ezra 10:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Hata hivyo, watu ni wengi, na haya ni majira ya manyunyu ya mvua, wala haiwezekani kusimama nje; na kazi hii haitachukua siku moja au mbili, kwa maana tumeasi kwa kadiri kubwa katika jambo hili.
-