Nehemia 2:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Kisha nikamwambia mfalme: “Mfalme na aishi muda mrefu! Kwa nini nisiwe na huzuni wakati lile jiji, mahali ambapo mababu zangu wamezikwa ni magofu, na malango yake yameteketezwa kwa moto?”+
3 Kisha nikamwambia mfalme: “Mfalme na aishi muda mrefu! Kwa nini nisiwe na huzuni wakati lile jiji, mahali ambapo mababu zangu wamezikwa ni magofu, na malango yake yameteketezwa kwa moto?”+