Nehemia 2:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Kisha nikamwambia mfalme: “Ukipenda, Ee mfalme, naomba nipewe barua niwapelekee magavana wa eneo lililo Ng’ambo ya Mto,*+ ili waniruhusu kupita hadi nifike Yuda salama salimini,
7 Kisha nikamwambia mfalme: “Ukipenda, Ee mfalme, naomba nipewe barua niwapelekee magavana wa eneo lililo Ng’ambo ya Mto,*+ ili waniruhusu kupita hadi nifike Yuda salama salimini,