-
Nehemia 13:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Hivyo, mara tu vivuli vilipoanza kuangukia malango ya Yerusalemu kabla ya Sabato, niliamuru milango ifungwe. Pia niliwaambia kwamba hawapaswi kuifungua mpaka Sabato iishe, nami nikawaweka baadhi ya watumishi wangu mwenyewe malangoni ili mizigo yoyote isiingizwe siku ya Sabato.
-