Esta 2:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Naye mfalme akaandaa karamu kubwa kwa ajili ya wakuu wake wote na watumishi wake wote, karamu ya Esta. Kisha akatangaza msamaha kwa mikoa,* naye akatoa zawadi kulingana na mali ya mfalme.
18 Naye mfalme akaandaa karamu kubwa kwa ajili ya wakuu wake wote na watumishi wake wote, karamu ya Esta. Kisha akatangaza msamaha kwa mikoa,* naye akatoa zawadi kulingana na mali ya mfalme.