Esta 2:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Kisha mfalme akawafanyia karamu kubwa wakuu wake wote na watumishi wake, yaani, karamu yake Esta; akatoa msamaha+ kwa wilaya zake za utawala, naye akatoa zawadi kulingana na mali ya mfalme.
18 Kisha mfalme akawafanyia karamu kubwa wakuu wake wote na watumishi wake, yaani, karamu yake Esta; akatoa msamaha+ kwa wilaya zake za utawala, naye akatoa zawadi kulingana na mali ya mfalme.