-
Esta 3:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Lakini alichukizwa na wazo la kumuua Mordekai peke yake, kwa maana alikuwa ameambiwa kuhusu watu wa Mordekai. Hivyo, Hamani akaanza kutafuta njia ya kuwaangamiza Wayahudi wote katika milki yote ya Ahasuero, watu wote wa Mordekai.
-