-
Esta 4:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 “Watumishi wote wa mfalme na watu wa mikoa ya* mfalme wanajua kuna sheria moja tu kwa mwanamume au mwanamke yeyote atakayeingia katika ua wa ndani wa mfalme+ bila kuitwa: Mtu huyo anapaswa kuuawa; ataishi ikiwa tu mfalme atamnyooshea fimbo yake ya ufalme ya dhahabu.+ Nami sijaitwa kuingia kwa mfalme kwa siku 30 sasa.”
-