Ayubu 21:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa?+ Ni mara ngapi wanapopatwa na msiba? Ni mara ngapi Mungu huwaangamiza kwa hasira yake?
17 Ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa?+ Ni mara ngapi wanapopatwa na msiba? Ni mara ngapi Mungu huwaangamiza kwa hasira yake?