Ayubu 39:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Ni nani aliyemwacha huru punda mwitu,+Na ni nani aliyemfungua kamba punda mwitu?