-
Zaburi 4:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Enyi wanadamu, mtaendelea mpaka lini kuibadili heshima yangu kuwa aibu?
Mtaendelea mpaka lini kupenda mambo yasiyo na faida na kutafuta mambo ya uwongo? (Sela)
-