Zaburi 57:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Amka, utukufu wangu. Amka, Ee kinanda; nawe pia, Ee kinubi. Nitayaamsha mapambazuko.+