-
Zaburi 143:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kwa maana adui ananifuatia;
Ameuponda uhai wangu ardhini.
Amenifanya nikae gizani kama wale waliokufa zamani za kale.
-
3 Kwa maana adui ananifuatia;
Ameuponda uhai wangu ardhini.
Amenifanya nikae gizani kama wale waliokufa zamani za kale.