Methali 1:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 “Ninyi wajinga mtaendelea kuupenda ujinga mpaka lini? Nanyi wadhihaki mtaendelea kufurahia dhihaka mpaka lini? Nanyi wapumbavu mtaendelea kuchukia ujuzi mpaka lini?+ Methali Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:22 Mnara wa Mlinzi (Funzo),10/2022, kur. 19-21
22 “Ninyi wajinga mtaendelea kuupenda ujinga mpaka lini? Nanyi wadhihaki mtaendelea kufurahia dhihaka mpaka lini? Nanyi wapumbavu mtaendelea kuchukia ujuzi mpaka lini?+