Methali 23:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Ni nani mwenye ole? Ni nani aliye na wasiwasi? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani anayelalamika? Ni nani aliye na majeraha bila sababu? Ni nani aliye na macho mazito?*
29 Ni nani mwenye ole? Ni nani aliye na wasiwasi? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani anayelalamika? Ni nani aliye na majeraha bila sababu? Ni nani aliye na macho mazito?*