Methali 23:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Ni nani aliye na ole? Ni nani aliye na wasiwasi? Ni nani aliye na ugomvi?+ Ni nani aliye na mahangaiko? Ni nani aliye na majeraha yasiyo na sababu? Ni nani aliye na macho mazito?
29 Ni nani aliye na ole? Ni nani aliye na wasiwasi? Ni nani aliye na ugomvi?+ Ni nani aliye na mahangaiko? Ni nani aliye na majeraha yasiyo na sababu? Ni nani aliye na macho mazito?