Mhubiri 6:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Mungu wa kweli humpa mtu utajiri na mali na utukufu, hivi kwamba hakosi chochote anachotamani;* lakini Mungu wa kweli hamwezeshi kuvifurahia, ingawa mgeni anaweza kuvifurahia. Hili ni ubatili na ni mateso makali.
2 Mungu wa kweli humpa mtu utajiri na mali na utukufu, hivi kwamba hakosi chochote anachotamani;* lakini Mungu wa kweli hamwezeshi kuvifurahia, ingawa mgeni anaweza kuvifurahia. Hili ni ubatili na ni mateso makali.