-
Wimbo wa Sulemani 3:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Alitengeneza nguzo zake kwa fedha,
Viegemeo vyake kwa dhahabu.
Kiti chake kwa sufu ya zambarau;
Sehemu yake ya ndani ilipambwa kwa upendo
Na mabinti wa Yerusalemu.”
-