-
Wimbo wa Sulemani 3:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Nguzo zake amezifanya kwa fedha, vitegemezo vyake kwa dhahabu. Kiti chake ni cha sufu iliyotiwa rangi ya zambarau, ndani yake binti za Yerusalemu wamekipamba vifaa kwa upendo.”
-