Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 3
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani 3:1

Marejeo

  • +1Sa 18:20; Wim 1:7

Wimbo wa Sulemani 3:2

Marejeo

  • +2Nya 9:30
  • +Ne 8:16; Omb 4:18

Wimbo wa Sulemani 3:3

Marejeo

  • +Zb 130:6; Wim 5:7

Wimbo wa Sulemani 3:5

Marejeo

  • +1Fa 22:16
  • +Wim 2:7
  • +Wim 8:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 31

    11/15/2006, kur. 18-19

    11/15/1987, kur. 24-25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18-19

Wimbo wa Sulemani 3:6

Marejeo

  • +Yer 2:2
  • +Kut 30:23, 34

Wimbo wa Sulemani 3:7

Marejeo

  • +1Fa 9:22

Wimbo wa Sulemani 3:8

Marejeo

  • +Ne 4:22; Mhu 5:12

Wimbo wa Sulemani 3:9

Marejeo

  • +1Fa 5:9

Wimbo wa Sulemani 3:11

Marejeo

  • +Met 4:9
  • +2Sa 12:24; Met 4:3
  • +Isa 62:5

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 3:11Sa 18:20; Wim 1:7
Wim. 3:22Nya 9:30
Wim. 3:2Ne 8:16; Omb 4:18
Wim. 3:3Zb 130:6; Wim 5:7
Wim. 3:51Fa 22:16
Wim. 3:5Wim 2:7
Wim. 3:5Wim 8:4
Wim. 3:6Yer 2:2
Wim. 3:6Kut 30:23, 34
Wim. 3:71Fa 9:22
Wim. 3:8Ne 4:22; Mhu 5:12
Wim. 3:91Fa 5:9
Wim. 3:11Met 4:9
Wim. 3:112Sa 12:24; Met 4:3
Wim. 3:11Isa 62:5
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 3:1-11

Wimbo wa Sulemani

3 “Nyakati za usiku kitandani mwangu nimemtafuta yeye ambaye nafsi yangu imempenda.+ Nilimtafuta, nisimpate. 2 Tafadhali niache niamke, niende kuzunguka jijini;+ barabarani na katika viwanja vya watu wote,+ niache nimtafute yeye ambaye nafsi yangu imempenda. Nilimtafuta, nisimpate. 3 Walinzi+ waliokuwa wakizunguka jijini walinikuta, ‘Je, mmemwona yeye ambaye nafsi yangu imempenda?’ 4 Punde tu baada ya kuwaacha nikampata yeye ambaye nafsi yangu imempenda. Nikamkamata, nisimwachilie, mpaka nilipokuwa nimemleta katika nyumba ya mama yangu na katika chumba cha ndani cha yeye aliyekuwa amenichukua mimba. 5 Nimewaapisha+ ninyi, enyi binti za Yerusalemu, kwa swala-jike au kwa paa wa porini,+ kwamba msijaribu kuamsha au kuwasha upendo ndani yangu mpaka wenyewe utake.”+

6 “Ni nini hiki kinachokuja kutoka nyikani kama nguzo za moshi, kikiwa kimetiwa harufu ya manemane na ubani,+ pamoja na kila namna ya poda ya marashi ya mfanya-biashara?”+

7 “Tazama! Ni kitanda chake, kile cha Sulemani. Wanaume 60 wenye nguvu wamekizunguka, kutoka kati ya wanaume wenye nguvu wa Israeli,+ 8 wote wana upanga, wamefundishwa vita, kila mmoja na upanga wake pajani mwake kwa sababu ya hofu wakati wa usiku.”+

9 “Ni kitanda ambacho Mfalme Sulemani amejifanyizia

kwa miti ya Lebanoni.+ 10 Nguzo zake amezifanya kwa fedha, vitegemezo vyake kwa dhahabu. Kiti chake ni cha sufu iliyotiwa rangi ya zambarau, ndani yake binti za Yerusalemu wamekipamba vifaa kwa upendo.”

11 “Enyi binti za Sayuni, nendeni nje mtazame Mfalme Sulemani akiwa na shada+ ambalo mama yake+ alimfumia siku ya arusi yake na siku ya moyo wake kushangilia.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki