Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 2
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani 2:1

Marejeo

  • +Isa 35:1
  • +1Nya 27:29
  • +Wim 2:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 31

    11/15/1987, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 2:2

Marejeo

  • +Wim 1:15; Flp 2:15; 1Pe 2:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 31

    11/15/1987, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 2:3

Marejeo

  • +Wim 8:5
  • +Zb 45:2; Wim 5:9

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/1987, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 2:4

Marejeo

  • +Isa 25:6
  • +Wim 6:4
  • +Mwa 29:18, 20

Wimbo wa Sulemani 2:5

Marejeo

  • +1Sa 30:12; 2Sa 6:19
  • +1Sa 18:20; Wim 5:8

Wimbo wa Sulemani 2:6

Marejeo

  • +Wim 8:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 2:7

Marejeo

  • +Kum 6:13
  • +2Sa 2:18; 1Nya 12:8; Wim 3:5
  • +Met 5:19
  • +Wim 8:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 31

    11/15/2006, kur. 18-19

    11/15/1987, kur. 24-25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18-19

Wimbo wa Sulemani 2:8

Marejeo

  • +Wim 5:2; Yoh 10:27; Ufu 3:20
  • +Ufu 22:20

Wimbo wa Sulemani 2:9

Marejeo

  • +Wim 2:17; 8:14
  • +Amu 5:28

Wimbo wa Sulemani 2:10

Marejeo

  • +Wim 4:7
  • +Zb 45:10; Yoh 14:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 32

    Amkeni!,

    3/22/1994, uku. 17

Wimbo wa Sulemani 2:11

Marejeo

  • +Zek 10:1

Wimbo wa Sulemani 2:12

Marejeo

  • +Wim 6:11; Isa 55:10
  • +Isa 18:5; Yoh 15:2
  • +Yer 8:7

Wimbo wa Sulemani 2:13

Marejeo

  • +Mik 4:4
  • +Isa 28:4; Nah 3:12
  • +Wim 1:15

Wimbo wa Sulemani 2:14

Marejeo

  • +Wim 5:2; Yer 48:28; Mt 10:16
  • +Zb 45:11
  • +Wim 1:5; 6:10

Wimbo wa Sulemani 2:15

Marejeo

  • +Amu 15:4; Omb 5:18
  • +Wim 7:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Amkeni!,

    3/22/1994, uku. 17

Wimbo wa Sulemani 2:16

Marejeo

  • +Wim 6:3; 7:10
  • +Wim 1:7
  • +Wim 2:1

Wimbo wa Sulemani 2:17

Marejeo

  • +2Sa 2:18; Wim 2:9; 8:14

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 2:1Isa 35:1
Wim. 2:11Nya 27:29
Wim. 2:1Wim 2:16
Wim. 2:2Wim 1:15; Flp 2:15; 1Pe 2:12
Wim. 2:3Wim 8:5
Wim. 2:3Zb 45:2; Wim 5:9
Wim. 2:4Isa 25:6
Wim. 2:4Wim 6:4
Wim. 2:4Mwa 29:18, 20
Wim. 2:51Sa 30:12; 2Sa 6:19
Wim. 2:51Sa 18:20; Wim 5:8
Wim. 2:6Wim 8:3
Wim. 2:7Kum 6:13
Wim. 2:72Sa 2:18; 1Nya 12:8; Wim 3:5
Wim. 2:7Met 5:19
Wim. 2:7Wim 8:4
Wim. 2:8Wim 5:2; Yoh 10:27; Ufu 3:20
Wim. 2:8Ufu 22:20
Wim. 2:9Wim 2:17; 8:14
Wim. 2:9Amu 5:28
Wim. 2:10Wim 4:7
Wim. 2:10Zb 45:10; Yoh 14:3
Wim. 2:11Zek 10:1
Wim. 2:12Wim 6:11; Isa 55:10
Wim. 2:12Isa 18:5; Yoh 15:2
Wim. 2:12Yer 8:7
Wim. 2:13Mik 4:4
Wim. 2:13Isa 28:4; Nah 3:12
Wim. 2:13Wim 1:15
Wim. 2:14Wim 5:2; Yer 48:28; Mt 10:16
Wim. 2:14Zb 45:11
Wim. 2:14Wim 1:5; 6:10
Wim. 2:15Amu 15:4; Omb 5:18
Wim. 2:15Wim 7:12
Wim. 2:16Wim 6:3; 7:10
Wim. 2:16Wim 1:7
Wim. 2:16Wim 2:1
Wim. 2:172Sa 2:18; Wim 2:9; 8:14
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 2:1-17

Wimbo wa Sulemani

2 “Mimi ni zafarani+ tu ya nchi tambarare ya pwani,+ yungiyungi la nchi tambarare za chini.”+

2 “Kama yungiyungi katikati ya magugu yenye miiba, ndivyo alivyo msichana mwenzi wangu katikati ya mabinti.”+

3 “Kama mtofaa+ katikati ya miti ya msituni, ndivyo alivyo mpenzi wangu katikati ya wana.+ Kivuli chake nimekitamani sana, na hapo nimekaa chini, na matunda yake yamekuwa matamu kinywani mwangu. 4 Alinileta ndani ya nyumba ya divai,+ na bendera+ yake juu yangu ilikuwa upendo.+ 5 Enyi watu niburudisheni kwa keki za zabibu,+ nitegemezeni kwa matofaa; kwa maana mimi nimelewa mapenzi.+ 6 Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu; nao mkono wake wa kuume unanikumbatia.+ 7 Nimewaapisha ninyi,+ enyi binti za Yerusalemu, kwa swala-jike+ au kwa paa+ wa porini, kwamba msijaribu kuamsha au kuwasha upendo ndani yangu mpaka wenyewe utake.+

8 “Sauti ya mpenzi wangu!+ Tazama! Anakuja,+ akipanda juu milimani, akiruka juu vilimani. 9 Mpenzi wangu anafanana na swala+ au mtoto wa paa. Tazama! Anasimama nyuma ya ukuta wetu, akichungulia madirishani, akitazama kupitia pazia.+ 10 Mpenzi wangu amejibu na kuniambia, ‘Simama, ewe msichana mwenzi wangu, mrembo wangu,+ twende zetu.+ 11 Kwa maana, tazama! msimu wa mvua+ umepita, mvua kubwa imekwisha, imekwenda zake. 12 Maua yametokea katika nchi,+ wakati wa kukata matawi ya mizabibu+ umefika, na sauti ya njiwa-tetere+ imesikiwa katika nchi yetu. 13 Mtini+ nao umepevusha rangi ya tini zake za mapema;+ nayo mizabibu imechanua, imetoa harufu yake nzuri. Simama, njoo, ewe msichana mwenzi wangu,+ mrembo wangu, twende zetu. 14 Ewe njiwa wangu+ katika makimbilio ya mwamba, katika mahali palipofichika pa njia yenye mwinuko mkali, nionyeshe umbo lako,+ acha nisikie sauti yako, kwa maana sauti yako ni tamu na umbo lako ni lenye kupendeza.’”+

15 “Tukamatieni mbweha,+ wale mbweha wadogo wanaoharibu mashamba ya mizabibu, kwa maana mashamba yetu ya mizabibu yamechanua.”+

16 “Mpenzi wangu ni wangu nami ni wake.+ Anachunga+ katikati ya mayungiyungi.+ 17 Mpaka mchana uvumishe upepo mtulivu na vivuli viwe vimekimbia, geuka, ewe mpenzi wangu; uwe kama swala+ au kama watoto wa paa juu ya milima ya kutenganisha.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki