Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 30:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Zaidi ya hayo, wakampa kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu.+ Ndipo akala na roho+ yake ikarudi kwake; kwa maana hakuwa amekula mkate wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku.

  • 2 Samweli 6:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Zaidi ya hayo, akawagawia+ watu wote, umati wote wa Israeli, mwanamume na mwanamke vilevile, kila mmoja keki ya mkate ya mviringo na keki ya tende na keki ya zabibu kavu,+ kisha watu wote wakaenda, kila mmoja nyumbani kwake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki