Wimbo wa Sulemani 2:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Mpaka mchana uvumishe upepo mtulivu na vivuli viwe vimekimbia, geuka, ewe mpenzi wangu; uwe kama swala+ au kama watoto wa paa juu ya milima ya kutenganisha. Wimbo wa Sulemani 8:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 “Kimbia, mpenzi wangu, ujifanye kama swala au kama mtoto wa paa juu ya milima ya manukato.”+
17 Mpaka mchana uvumishe upepo mtulivu na vivuli viwe vimekimbia, geuka, ewe mpenzi wangu; uwe kama swala+ au kama watoto wa paa juu ya milima ya kutenganisha.