Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 8
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani 8:1

Marejeo

  • +Wim 1:6
  • +Gal 4:26
  • +Zb 2:12; Wim 1:2

Wimbo wa Sulemani 8:2

Marejeo

  • +Wim 3:4
  • +Met 9:2; Wim 5:1

Wimbo wa Sulemani 8:3

Marejeo

  • +Wim 2:6

Wimbo wa Sulemani 8:4

Marejeo

  • +Wim 2:7; 3:5

Wimbo wa Sulemani 8:5

Marejeo

  • +Wim 6:13; 7:10
  • +Zb 45:10
  • +Wim 7:11
  • +Mwa 3:16

Wimbo wa Sulemani 8:6

Maelezo ya Chini

  • *

    Sheoli. Tazama Nyongeza 4.

Marejeo

  • +Hag 2:23
  • +Yoh 15:13; Ro 16:4; Efe 5:25; Ufu 12:11
  • +Kut 20:5; Yos 24:19
  • +Zb 89:8; 118:17; Isa 12:2; 1Yo 4:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    5/2023, uku. 20

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 29

    5/15/2012, uku. 4

    11/15/2006, uku. 20

    11/15/1987, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 5/15 4; w06 11/15 20

Wimbo wa Sulemani 8:7

Marejeo

  • +1Ko 13:8, 13
  • +Ro 8:39

Wimbo wa Sulemani 8:8

Marejeo

  • +Wim 1:6

Wimbo wa Sulemani 8:9

Marejeo

  • +2Ko 7:1; Gal 5:23; 1Pe 3:2
  • +Met 7:11; Ho. 2:7; 1Ko 7:9

Wimbo wa Sulemani 8:10

Marejeo

  • +1Ko 7:34; Kol 3:5; 1Pe 2:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Amkeni!,

    10/8/1992, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 8:11

Marejeo

  • +Mhu 2:4; Wim 7:12
  • +Lu 20:9

Wimbo wa Sulemani 8:13

Marejeo

  • +Wim 1:6; 6:11
  • +Wim 2:14

Wimbo wa Sulemani 8:14

Marejeo

  • +Wim 2:17

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 8:1Wim 1:6
Wim. 8:1Gal 4:26
Wim. 8:1Zb 2:12; Wim 1:2
Wim. 8:2Wim 3:4
Wim. 8:2Met 9:2; Wim 5:1
Wim. 8:3Wim 2:6
Wim. 8:4Wim 2:7; 3:5
Wim. 8:5Wim 6:13; 7:10
Wim. 8:5Zb 45:10
Wim. 8:5Wim 7:11
Wim. 8:5Mwa 3:16
Wim. 8:6Hag 2:23
Wim. 8:6Yoh 15:13; Ro 16:4; Efe 5:25; Ufu 12:11
Wim. 8:6Kut 20:5; Yos 24:19
Wim. 8:6Zb 89:8; 118:17; Isa 12:2; 1Yo 4:8
Wim. 8:71Ko 13:8, 13
Wim. 8:7Ro 8:39
Wim. 8:8Wim 1:6
Wim. 8:92Ko 7:1; Gal 5:23; 1Pe 3:2
Wim. 8:9Met 7:11; Ho. 2:7; 1Ko 7:9
Wim. 8:101Ko 7:34; Kol 3:5; 1Pe 2:12
Wim. 8:11Mhu 2:4; Wim 7:12
Wim. 8:11Lu 20:9
Wim. 8:13Wim 1:6; 6:11
Wim. 8:13Wim 2:14
Wim. 8:14Wim 2:17
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 8:1-14

Wimbo wa Sulemani

8 “Laiti ungekuwa kama ndugu yangu,+ ukinyonya maziwa ya mama yangu!+ Ningekukuta nje, ningekubusu.+ Watu hawangenidharau mimi. 2 Ningekuongoza, ningekuleta ndani ya nyumba ya mama yangu,+ aliyekuwa akinifundisha. Ningekupa kinywaji cha divai iliyotiwa vikolezo,+ maji safi ya makomamanga. 3 Mkono wake wa kushoto ungekuwa chini ya kichwa changu; nao mkono wake wa kuume ungenikumbatia.+

4 “Nimewaapisha ninyi, enyi binti za Yerusalemu kwamba msijaribu kuamsha au kuwasha upendo ndani yangu mpaka wenyewe utake.”+

5 “Mwanamke+ huyu ni nani, anayepanda kutoka nyikani,+ akimwegemea mpenzi wake?”+

“Chini ya mtofaa nilikuamsha. Hapo mama yako alikuwa na uchungu wa kukuzaa. Hapo yeye aliyekuwa akikuzaa alipata uchungu.+

6 “Nitie kama muhuri juu ya moyo wako,+ kama muhuri juu ya mkono wako; kwa maana upendo una nguvu kama kifo,+ msisitizo juu ya kujitoa kikamili+ ni wenye kudai kama Kaburi.* Miwako yake ni miwako ya moto, mwali wa moto wa Yah.+ 7 Maji mengi hayawezi kuuzima upendo,+ wala mito haiwezi kuufagilia mbali.+ Kama mtu angetoa vitu vyote vyenye thamani vya nyumba yake kwa ajili ya upendo, hakika watu wangevidharau.”

8 “Tunaye dada mdogo+ ambaye hana maziwa yoyote. Tutamfanyia nini dada yetu siku atakapochumbiwa?”

9 “Kama akiwa ukuta,+ tutajenga juu yake mnara wa fedha; lakini akiwa mlango,+ tutamzuia kwa ubao wa mwerezi.”

10 “Mimi ni ukuta, na maziwa yangu ni kama minara.+ Basi nimekuwa machoni pake yeye kama msichana anayepata amani.

11 “Kulikuwa na shamba la mizabibu+ ambalo Sulemani alikuwa nalo katika Baal-hamoni. Aliwapa watunzaji+ hilo shamba la mizabibu. Kila mmoja alikuwa akileta vipande elfu moja vya fedha kwa ajili ya matunda yake.

12 “Shamba langu mwenyewe la mizabibu liko chini ya mamlaka yangu. Nawe, Ee Sulemani una elfu na wale wanaotunza matunda yake wana mia mbili.”

13 “Enyi mnaokaa katika bustani,+ hao wenzi wanasikiliza kwa makini sauti zenu. Acheni niisikie.”+

14 “Kimbia, mpenzi wangu, ujifanye kama swala au kama mtoto wa paa juu ya milima ya manukato.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki