Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 7
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani 7:1

Marejeo

  • +Isa 52:7; Ro 10:15
  • +Zb 110:3
  • +Zb 45:13

Wimbo wa Sulemani 7:2

Marejeo

  • +Met 9:2; Wim 8:2
  • +Wim 2:2

Wimbo wa Sulemani 7:3

Marejeo

  • +Wim 4:5

Wimbo wa Sulemani 7:4

Marejeo

  • +Wim 1:10; 4:4
  • +Wim 4:1
  • +Hes 21:25; Yos 21:39

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 20

    11/15/1987, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 20

Wimbo wa Sulemani 7:5

Marejeo

  • +Isa 35:2
  • +Wim 6:5
  • +Est 8:15; Wim 3:10
  • +Wim 1:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/1996, uku. 7

  • Fahirishi ya Machapisho

    w96 8/15 7

Wimbo wa Sulemani 7:6

Marejeo

  • +Wim 4:7

Wimbo wa Sulemani 7:7

Marejeo

  • +Zb 92:12
  • +Wim 7:3; 8:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2007, uku. 32

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 9/15 32

Wimbo wa Sulemani 7:8

Marejeo

  • +Mt 5:28; 1Ti 5:2

Wimbo wa Sulemani 7:9

Marejeo

  • +Zb 104:15
  • +Met 23:31

Wimbo wa Sulemani 7:10

Marejeo

  • +Wim 2:16; 6:3
  • +Wim 2:14

Wimbo wa Sulemani 7:11

Marejeo

  • +Wim 8:1
  • +Wim 1:14; 4:13

Wimbo wa Sulemani 7:12

Marejeo

  • +Wim 6:11
  • +Wim 2:13
  • +Kum 8:8; Wim 6:11
  • +Wim 1:4; 4:10

Wimbo wa Sulemani 7:13

Marejeo

  • +Mwa 30:14
  • +Wim 4:16

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 7:1Isa 52:7; Ro 10:15
Wim. 7:1Zb 110:3
Wim. 7:1Zb 45:13
Wim. 7:2Met 9:2; Wim 8:2
Wim. 7:2Wim 2:2
Wim. 7:3Wim 4:5
Wim. 7:4Wim 1:10; 4:4
Wim. 7:4Wim 4:1
Wim. 7:4Hes 21:25; Yos 21:39
Wim. 7:5Isa 35:2
Wim. 7:5Wim 6:5
Wim. 7:5Est 8:15; Wim 3:10
Wim. 7:5Wim 1:4
Wim. 7:6Wim 4:7
Wim. 7:7Zb 92:12
Wim. 7:7Wim 7:3; 8:10
Wim. 7:8Mt 5:28; 1Ti 5:2
Wim. 7:9Zb 104:15
Wim. 7:9Met 23:31
Wim. 7:10Wim 2:16; 6:3
Wim. 7:10Wim 2:14
Wim. 7:11Wim 8:1
Wim. 7:11Wim 1:14; 4:13
Wim. 7:12Wim 6:11
Wim. 7:12Wim 2:13
Wim. 7:12Kum 8:8; Wim 6:11
Wim. 7:12Wim 1:4; 4:10
Wim. 7:13Mwa 30:14
Wim. 7:13Wim 4:16
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 7:1-13

Wimbo wa Sulemani

7 “Jinsi hatua zako zimekuwa nzuri katika viatu vyako,+ ewe binti mwenye kujitoa kwa kupenda!+ Mikato ya mapaja yako ni kama mapambo,+ kazi ya mikono ya fundi. 2 Kitovu chako ni bakuli la mviringo. Divai iliyochanganywa+ isikosekane ndani yake. Tumbo lako ni rundo la ngano, lililozungushiwa ua wa mayungiyungi.+ 3 Maziwa yako mawili ni kama watoto wawili, mapacha ya swala-jike.+ 4 Shingo yako+ ni kama mnara wa pembe ya tembo. Macho yako+ ni kama vidimbwi katika Heshboni,+ kando ya lango la Bath-rabimu. Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni, ambao unaelekea Damasko. 5 Kichwa chako juu yako ni kama Karmeli,+ na mashungi+ ya nywele za kichwa chako ni kama sufu iliyotiwa rangi ya zambarau.+ Mfalme amenaswa na mining’inio ya nywele zako.+ 6 Jinsi ulivyo mrembo, na jinsi unavyopendeza, ewe msichana mpendwa, katikati ya furaha tele!+ 7 Hiki kimo chako kinafanana na mtende,+ na maziwa yako+ kama vishada vya tende. 8 Nimesema, ‘Nitapanda juu ya mtende, nikamate vitawi vya matunda yake ya tende.’+ Tafadhali, maziwa yako na yawe kama vishada vya mzabibu, na harufu nzuri ya pua yako kama matofaa, 9 na kinywa chako kama divai bora+ zaidi ambayo inashuka kwa ulaini+ kwa ajili ya mpenzi wangu, ikitiririka taratibu juu ya midomo ya wenye kulala usingizi.”

10 “Mimi ni wa mpenzi wangu,+ na tamaa yake imenielekea mimi.+ 11 Njoo, ewe mpenzi wangu, twende shambani;+ tukae katikati ya mimea ya hina.+ 12 Na tuamke mapema, twende katika mashamba ya mizabibu, tuone kama mzabibu umechipuka,+ kama ua limechanuka,+ kama mikomamanga imechanua.+ Huko nitakupa wewe maonyesho yangu ya mapenzi.+ 13 Dudai+ zimetoa harufu yake nzuri, na kando ya maingilio yetu kuna namna zote za matunda bora kabisa.+ Mapya na ya zamani vilevile, ewe mpenzi wangu, nimekuwekea hazina.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki