Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 6
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani 6:1

Marejeo

  • +Zb 45:11; Wim 1:8; 5:9; Ufu 19:8

Wimbo wa Sulemani 6:2

Marejeo

  • +Wim 5:1
  • +Wim 5:13
  • +Wim 1:7; 2:16

Wimbo wa Sulemani 6:3

Marejeo

  • +Wim 7:10; 2Ko 11:2
  • +Isa 40:11; Yoh 10:14; Ebr 13:20

Wimbo wa Sulemani 6:4

Marejeo

  • +Wim 1:9
  • +1Fa 14:17
  • +Zb 48:2; Ufu 21:10
  • +Wim 6:10
  • +Zb 20:5

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 20

    11/15/1987, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 20

Wimbo wa Sulemani 6:5

Marejeo

  • +Wim 1:15; 4:9; 7:4
  • +Wim 4:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 19

Wimbo wa Sulemani 6:6

Marejeo

  • +Wim 4:2

Wimbo wa Sulemani 6:7

Marejeo

  • +Wim 4:3

Wimbo wa Sulemani 6:8

Marejeo

  • +1Fa 11:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    12/15/2011, uku. 11

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 12/15 11

Wimbo wa Sulemani 6:9

Marejeo

  • +Wim 2:14
  • +Wim 5:2
  • +Zb 45:9; Isa 49:23

Wimbo wa Sulemani 6:10

Marejeo

  • +Wim 8:5; Ufu 21:10
  • +2Sa 23:4; Isa 58:8
  • +Isa 24:23
  • +Mt 13:43
  • +Wim 6:4

Wimbo wa Sulemani 6:11

Marejeo

  • +Mhu 2:5; Wim 6:2
  • +Kum 8:7
  • +Wim 7:12

Wimbo wa Sulemani 6:13

Marejeo

  • +Wim 1:10
  • +Wim 1:6; Ufu 19:7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 20

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 6:1Zb 45:11; Wim 1:8; 5:9; Ufu 19:8
Wim. 6:2Wim 5:1
Wim. 6:2Wim 5:13
Wim. 6:2Wim 1:7; 2:16
Wim. 6:3Wim 7:10; 2Ko 11:2
Wim. 6:3Isa 40:11; Yoh 10:14; Ebr 13:20
Wim. 6:4Wim 1:9
Wim. 6:41Fa 14:17
Wim. 6:4Zb 48:2; Ufu 21:10
Wim. 6:4Wim 6:10
Wim. 6:4Zb 20:5
Wim. 6:5Wim 1:15; 4:9; 7:4
Wim. 6:5Wim 4:1
Wim. 6:6Wim 4:2
Wim. 6:7Wim 4:3
Wim. 6:81Fa 11:1
Wim. 6:9Wim 2:14
Wim. 6:9Wim 5:2
Wim. 6:9Zb 45:9; Isa 49:23
Wim. 6:10Wim 8:5; Ufu 21:10
Wim. 6:102Sa 23:4; Isa 58:8
Wim. 6:10Isa 24:23
Wim. 6:10Mt 13:43
Wim. 6:10Wim 6:4
Wim. 6:11Mhu 2:5; Wim 6:2
Wim. 6:11Kum 8:7
Wim. 6:11Wim 7:12
Wim. 6:13Wim 1:10
Wim. 6:13Wim 1:6; Ufu 19:7
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 6:1-13

Wimbo wa Sulemani

6 “Mpenzi wako amekwenda wapi, ewe mwanamke mrembo zaidi kati ya wanawake?+ Mpenzi wako amegeukia upande gani, ili tumtafute pamoja nawe?”

2 “Mpenzi wangu ameshuka kwenda katika bustani yake,+ katika eneo dogo la bustani ya manukato,+ kuchunga+ katikati ya bustani, na kuchuma mayungiyungi. 3 Mimi ni wa mpenzi wangu, naye mpenzi wangu ni wangu.+ Anachunga+ katikati ya mayungiyungi.”

4 “Wewe ni mrembo, ewe msichana mwenzi wangu,+ kama Jiji la Kupendeza,+ unavutia kama Yerusalemu,+ unatisha kama vikosi+ vilivyokusanyika kuzunguka bendera.+ 5 Geuzia mbali macho yako+ kutoka mbele yangu, kwa kuwa yamenishtua mimi. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi ambao wameruka chini kutoka Gileadi.+ 6 Meno yako ni kama kundi la kondoo-jike ambao wamepanda kutoka kuoshwa, wote wanazaa mapacha, na kati yao hakuna yeyote aliyepoteza watoto wake.+ 7 Kama kipande cha komamanga ndivyo yalivyo mashavu yako nyuma ya ushungi wako.+ 8 Huenda kuna malkia 60 na masuria 80 na wanawali wasio na hesabu.+ 9 Lakini kuna mmoja ambaye ni njiwa wangu,+ wangu asiye na lawama.+ Kuna mmoja ambaye ni wa mama yake. Yeye ndiye aliye safi wa yule aliyemzaa. Binti wamemwona, nao wakamtangaza kuwa mwenye furaha; malkia na masuria, nao wakaanza kumsifu,+ 10 ‘Mwanamke+ huyu ni nani, anayetazama chini kama mapambazuko,+ mrembo kama mwezi mpevu,+ mwenye kutakata kama jua linaloangaza,+ mwenye kutisha kama vikosi vilivyokusanyika kuzunguka bendera?’”+

11 “Nilikuwa nimeshuka kwenda katika bustani+ ya milozi, nione matumba katika bonde la mto,+ nione kama mzabibu ulikuwa umechipuka, kama mikomamanga ilikuwa imechanua.+ 12 Kabla sijajua, nafsi yangu mimi ilikuwa imenitia katika magari ya watu wangu wenye kujitoa kwa kupenda.”

13 “Rudi, rudi, ewe Mshulami! Rudi, rudi, ili tukutazame!”+

“Mnaona nini kwa Mshulami?”+

“Kitu kama dansi ya kambi mbili!”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki